Mchekeshaji maarufu nchini Tanzania amewashangaza watu kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya kupost Nyumba ya kifahari na gharama kubwa na kuandika caption iliyo someka hivi ''2 years can't wait'' akiwa na maana ya kuwa baada ya miaka miwili tutegemee Nyumba iyo kukamilika.

No comments:
Post a Comment