Saturday, 22 December 2018

DOGO JANJA HII NI VITA YA FASHION SIO BURE

Kwa picha hizi dogo Janjaro kupitia Wimbo wake wa ukivaaje unapendeza ambao mistari yake mingi amejisifia sana kuwa yeye ndiye mkali kwenye masuala ya mavazi (Mitindo) na kusabisha aingie kwenye mabishano makubwa zidi ya msanii mwenzake anayeitwa Nedy music zinasibisha kuwa ni mkali kweli?














No comments:

Post a Comment