Baada ya baraza la Sanaa la taifa (BASATA) kukanusha taarifa ya msanii diamond platnumz kupata ruhusa ya kupaform nchini kenya lakini kwa picha hii aliyopost msanii mwenzake Rayvanny leo katika ukurasa wake wa Instagram bila caption ni wazi kabisa kuwa tukio la show Yao nchini kenya lineshafanyika na kuwaacha watu vinywa wazi...
Kwa maana hii ni wazi diamond platnumz yupo juu ya sheria??
Comments zenu ni muhimu hapo chini

No comments:
Post a Comment