Saturday, 22 December 2018

IJUE HOLLYWOOD WALK OF FAME HESHIMA NYINGINE ALITUNUKIWA MSANII SNOPPY DOGGY

Hollywood walk of fame ni njia ya miguu iliopo mjin I Hollywood Boulevard na varie street huko Hollywood, Los Angeles , Carfornis, Marekani ambayo hutumika Kama sehemu ya maonesho ya burudani.
Imetiwa zaidi ya nyota yenye pembe tano 2000 ikiwa na Majina sio ya binadamu mashuhuri peke yake bali hata ya wahusika wa katuni pia wamepewa nyota kwa mchango wao katika tasnia ya burudani.
Hollywood walk of fame hutoa fedha na Hollywood historic trust.
Nyota za kwanza zilitolewa mna I mwezi wa September katika mwaka wa 1958 na kuwekwa kwenye njia ya miguu kwenye kona ya kaskazini mwa Hollywood Blvd na highland Ave. (chanzo Cha habari na Wikipedia.com)



No comments:

Post a Comment