Msanii mkongwe wa Hiphop kutoka Tanzania anewasitua mashabiki zake baada ya kudondosha bidhaa zake za body sprays zinazoitwa fyn by falsafa. Bidhaa hizo ambazo zinaonekana kuungwa mkono na na watu mbalimbali maarufu na mashuhuri ambazo zitahuzwa kwa bei ya Tsh 5,000 pekee. Swali ni je? Fyn by falsafa itaweza kuipiku ile perfume ya msanii diamond platnumz inayoitwa Chibu perfume sokoni?
Nini naoni yako?



No comments:
Post a Comment